Kuna haja kubwa ya kuwa na utulivu mkubwa ktk kulishughulikia jambo hili,kwa sababu inaonekana kuna mambo mengi sana ya kutengeneza ndomana kuna mpishano mkubwa wa maelezo ya wahusika,kuna vikao vya chini kwa chini na kuna pesa zinatumika kila upande ili kupata uhalali wa umiliki wa eneo hilo.Kwa maelezo yaliyotolewa ni dhahiri kuwa mwenye eneo alikuwa Bahati na alikufa kabla hajauza eneo lake, hivyo sarakasi zilianza kuchezwa baada ya kifo cha Bahati,kuweni makini sana.
uko vizuri,upande wa ardhi ni shida kila mkoa wenye pesa ( matajiri) ndio wamiliki maskini ni tabu kumiliki ardhi sanasana huporwa ardhi.hata ifakara kilombero ipo hiyo
Mm kununua viwanja vya hawa madalali sithubutu nanunua kiwanja cha wenyeji wenye shida sio hao eti viwanja Kazole Vianzi vilivyopimwa loh watalia wengi jaman
Nchi hii viongoz ndio tatzooo nchi zote zilizooendelea ukiandalia viongoz wao walikuwa imara! Hakuna nchi ilizaliwa na utajiri ! Uongoz imara na uzalendo wa viongoz ndio leo unaona kila kizur ulaya!
kwenye Ardhi kwa kweli kuna changamoto kubwa sana tena Nchi nzima. Hivi kwani Wizara na Idara za Ardhi hawana mkakati wa kupima maeneo yote kisha kuyatoa kwa utaratibu Mzuri? Mimi Binafsi huwa siwatamani kusikia wala kuwahitaji wenyeviti kwenye massuala ya Ardhi. Wanachangamoto zao nyingi hasa kama tunavyojua kwao pia ndio chanzo cha mapato yao. Hawa watu wangetoka kabisa kwenye uuzwaji wa Ardhi
Huyu Magesa alitaka kunidhulumu eneo langu Mwasonga anawaleta wateja wakati sijamwambia aliuze nikaona nitadhulumiwa nikakubali yaishe anitumie hela akaliuza bei anayoijua yeye akanitumia milioni nne na laki tano. NI kama muujiza tu sikutegemea na ningekataa angeuza na nisingeambulia chochote. Ni muhusika mkubwa wa upigaji ardhi za watu.
Madhulumati wakubwa hayo mabaraza, Yani Bora siku hizi wamenyang'anywa mamlaka ya kutoa MAAMUZI, nowadays wanasuluhisha tuu... Mabaraza yanahongwa yanatoa haki kwa matapeli
Yaani hapo Kuna vichekesho vya watu wazima mm binafsi nimeifahamu muhimbili mwaka 1997 Mzee bahati akiwa bado hai Sasa huo mwaka anaousema mwarabu dah😂
Serikali iwe unaweka wazi maeneo ambayo hata matangazo hupitia mtandaoni ....kamaeneo Lina mmiliki walikemee haraka kupitia wenye viti ...hiii nisawa mkuu wa mkoa hayo Mambo wenye viti muanze nao Hawa ....
Tunaomba mh,R C, Tunakusubiri kwa hamu chanika Wilaya ya ILALA, Na kisarawe mkoani pwani kupitia msitu wa kazi mzumbwi,Kutafsiri GN No 306 ,ya mwaka 1954,Iko wazi kwa nini waruke GN waje waweke mapipa sehemu isiyohusika?
@@hijazhija316 Apana ndugu ila hauhitaji elimu kubwa king'amua hili watu wanaambiwa wahaini na kesi haina dhamana na adhabu ni kifo alafu wanabadilisha badae unadhani wanawatendea haki watu waliowabambikizia kesi
Hakuna kiongozi mjinga kama huyu jamaa maana anaaguza na kufokea wananchi kama family yake au mkewe na watoto wake ni wajabu sana anajiona kama anamiliki wa mkoa dar ulimbukeni
uko vizuri,upande wa ardhi ni shida kila mkoa wenye pesa ( matajiri) ndio wamiliki maskini ni tabu kumiliki ardhi sanasana huporwa ardhi.hata ifakara kilombero ipo hiyo
Hongera Rc
Hongera sana Mheshimiwa na ukatende haki maana watu Wana hati na wanalipa Kodi Kila Mwaka
Asante mheshimiwa kwa kazi nzuri huo ndio ukweli
Kamishna na Rc wapo vizuri, kampuni hizo za kuuza ardhi na madalali hua ni matapeli
Hatari ndio maana naogopa viwanja.vya mtandaoni. Bora kwenda halmashauri
Ofisi ya Mkurugenzi Kigamboni, kitengo cha Upimaji ndo chanzo cha tatizo la migogoro ya ardhi
@millardayo aisee huyu dada anasauti nzuri ya kusoma taarifa ya habari mpe hizi habari awe anasoma daily
Uyo msukuma yupo vzr
Kuna haja kubwa ya kuwa na utulivu mkubwa ktk kulishughulikia jambo hili,kwa sababu inaonekana kuna mambo mengi sana ya kutengeneza ndomana kuna mpishano mkubwa wa maelezo ya wahusika,kuna vikao vya chini kwa chini na kuna pesa zinatumika kila upande ili kupata uhalali wa umiliki wa eneo hilo.Kwa maelezo yaliyotolewa ni dhahiri kuwa mwenye eneo alikuwa Bahati na alikufa kabla hajauza eneo lake, hivyo sarakasi zilianza kuchezwa baada ya kifo cha Bahati,kuweni makini sana.
Jembe kama jembe damu ya Magu hiyo mnamalizana hapohapo, anafaa sana RC
Mkuu Kofia imekupendeza hatari karibu ktk uislam dini ya haqqi
Kuna hawa watu wanaoendelea kupima na kuuza viwanja siwaelewi hebu kwanza wastop
uko vizuri,upande wa ardhi ni shida kila mkoa wenye pesa ( matajiri) ndio wamiliki maskini ni tabu kumiliki ardhi sanasana huporwa ardhi.hata ifakara kilombero ipo hiyo
Hii imeenda
Moto utawaka
Sijaelewa kabisa hu mgogoro.
Waelekeze Mkuu mana hawajui KAZI Yao hao.
Kwanini kila akienda kwenye migogoro ya Ardh anavaa hvyo angalieni clip ile ya mabwe kunanini hapo
Kesi za ardhi ni miongoni mwa kesi ngumu sana kuziamua kwa haki hakika.
Tunakukubali Raisi Magu wa baadae
Utapeli kuhusu Viwancha Nchini Tansania na hongo umejaa
Unaitaji siku mzima na awa watu mkuu wa mkoa
Yale yale Puna. Tundwi Songani, Amadoliiii, Pemba mnazi. Huko ni ndaaaniii ndaniiii saaaanaaa Kigamboni huko Wasukuma kitaaambooo huko toka 90's wanafuga.
Kigamboni kimeo sana ardhi
hii ngoma nzito
Mmm hatari sasa km.aliyenujua.alitoweka..
Vikindu na.kisemvule.na.chanika. mkuu pitia ni utaperi wa juu.wq.ardhi. kila.sehemu.wanauza.viwanjq
Duuuuuh nimeshindwa mimi.
Mdomo wa mkuu wa mkoa ni kama anapiga pombe hatari,au macho yangu tu mabovu 😂😂😂
Aaha huyu anaonekana mwanachama mzuri tuuuu😅😅
@@magrethmbangama1199 hallow mpaka lips zinakuwa dry
Na bangi pia
😂😂😂😂😂
Alikuwa kavimba labda alipata kidonda
Mm kununua viwanja vya hawa madalali sithubutu nanunua kiwanja cha wenyeji wenye shida sio hao eti viwanja Kazole Vianzi vilivyopimwa loh watalia wengi jaman
Nchi hii viongoz ndio tatzooo
nchi zote zilizooendelea ukiandalia viongoz wao walikuwa imara!
Hakuna nchi ilizaliwa na utajiri !
Uongoz imara na uzalendo wa viongoz ndio leo unaona kila kizur ulaya!
Ndo zao hizo,watatajana uongo mwingi.
Safisana kiongozi
kwenye Ardhi kwa kweli kuna changamoto kubwa sana tena Nchi nzima. Hivi kwani Wizara na Idara za Ardhi hawana mkakati wa kupima maeneo yote kisha kuyatoa kwa utaratibu Mzuri? Mimi Binafsi huwa siwatamani kusikia wala kuwahitaji wenyeviti kwenye massuala ya Ardhi. Wanachangamoto zao nyingi hasa kama tunavyojua kwao pia ndio chanzo cha mapato yao. Hawa watu wangetoka kabisa kwenye uuzwaji wa Ardhi
Mtqalamu kamishna anasema iuna sheria ya maharaja ya kata ? Mwaka ....Hakika migogoro ya ardhi Tz haitokaa iishe.
Ndiyo maana mimi nimeshaapa sinunui kiwanja daslamu
Dar es salam
😂😂😂😂. Nifate mimi nimenyoka kaka acha na wakali wa dar
Hayo makampuni yaitwe upimaji wa.hovyo matqngqzo.yq viwanja hatuelewi vina uhalali au.laha
Hii wizara naona.apewe CHARAMILA mabula kachemka
Huyu Magesa alitaka kunidhulumu eneo langu Mwasonga anawaleta wateja wakati sijamwambia aliuze nikaona nitadhulumiwa nikakubali yaishe anitumie hela akaliuza bei anayoijua yeye akanitumia milioni nne na laki tano. NI kama muujiza tu sikutegemea na ningekataa angeuza na nisingeambulia chochote. Ni muhusika mkubwa wa upigaji ardhi za watu.
Hakuna watu zurma kama baraza la kata la ardhi wallah watu hawa watakwenda ungua
Madhulumati wakubwa hayo mabaraza, Yani Bora siku hizi wamenyang'anywa mamlaka ya kutoa MAAMUZI, nowadays wanasuluhisha tuu... Mabaraza yanahongwa yanatoa haki kwa matapeli
Huyo hapo ni Gabacholi au Mwarabu? Kama vipi apelekwe uwanja wa ndege leo leo
Kaa
Mahakama kazi yake nini
Yaani hapo Kuna vichekesho vya watu wazima mm binafsi nimeifahamu muhimbili mwaka 1997 Mzee bahati akiwa bado hai Sasa huo mwaka anaousema mwarabu dah😂
ufojaji huo upo sehemu karibia zote za Tanzania hii
Serikali iwe unaweka wazi maeneo ambayo hata matangazo hupitia mtandaoni ....kamaeneo Lina mmiliki walikemee haraka kupitia wenye viti ...hiii nisawa mkuu wa mkoa hayo Mambo wenye viti muanze nao Hawa ....
ukovizuri mkuwamkowa nakukubali nahsikamanamuwona makufuli wwnimfanowake
Mbona Magufuli aliacha ardhi slm? Na wizi wizi na makanjanja ilishaviondo? Haya yanatokea wp?
Tunaomba mh,R C, Tunakusubiri kwa hamu chanika Wilaya ya ILALA, Na kisarawe mkoani pwani kupitia msitu wa kazi mzumbwi,Kutafsiri GN No 306 ,ya mwaka 1954,Iko wazi kwa nini waruke GN waje waweke mapipa sehemu isiyohusika?
wakamatewotewalouza kiharsm wezi wakubwa
Sasa dada bahati ana familia c mufate familia yake
Wasukuma wenzangu
Hii migogro kwa JPM ILIISHA wameanza tena
ukoviziri kamawalikiriwasitake kumsumbuwa huyobaba alonunuwa
Wanaotajwa wote wamelala ardhini…walio hai leo wanagombania ardhi hiyo hiyo.
Magufuli kaacha viogogo uongozini
Hapa bila kutumia sheriana busara,Kuna watu watadhurumika.
Chalamilaaaaaaaaaa,eti unaambiwa dalali makazi,anauza kwa niaba ya mutu aliyekufa.ikoje hii mkuu?
mana sikuzote wanawofoji ndowanawewahaki muhiawetsjiri
Nyie wasukuma mnazingua bwana kama vipi rudini kwenu shinyanga yaani hamjui hata kuongea kiswahili pumbavu sana nyie
Huwezi kusahau mtu.aliyekuuzia.ardhi. nyie ni wezi
Tanzania tuna wananchi wanyama rasilimali ila uongozi ndio hatuna
Nyumbani kwako unaongoza vema mkuu?
@@hijazhija316
Apana ndugu ila hauhitaji elimu kubwa king'amua hili watu wanaambiwa wahaini na kesi haina dhamana na adhabu ni kifo alafu wanabadilisha badae unadhani wanawatendea haki watu waliowabambikizia kesi
😅
Duh😂
msotakekumzulum huyobabawawatu
Dili
dah kwenye wizara ya ardhi huko ni shidaaa kwelikweli kabisa, huko mtaani ni shida
Hii wizara hadi Magu ilimshinda enzi zile akiwa waziri wa Ardhi japo alijitahidi kwa 57%
Lukuvi alijitahidi kwa kiasi chake ila ndo hivyo tena
Hakuna kiongozi mjinga kama huyu jamaa maana anaaguza na kufokea wananchi kama family yake au mkewe na watoto wake ni wajabu sana anajiona kama anamiliki wa mkoa dar ulimbukeni
Anatenda haki,. Wewe ni mtu wa Iringa unamchukia wa kwenu? Mnyonge mnyonge haki yake mpe. Mwache atende haki
Pumbavu mkubwa ww, rc anasaidia masikini ww unaleta usengerema wako
Anasaidia nini na we nae mchokozi nini?
Pumbavu zako
Wewe ndo mjinga wa viwango vya juu zaidi, au na wewe ni miongoni mwa Hao matapel.?
Maagizo ya aina hiyo ingefaa yatolewe ofisini kwa maandishi ili ufuatiliaji uwe thabiti kwa kila muhusika kwa nafasi yake
uko vizuri,upande wa ardhi ni shida kila mkoa wenye pesa ( matajiri) ndio wamiliki maskini ni tabu kumiliki ardhi sanasana huporwa ardhi.hata ifakara kilombero ipo hiyo